Hebu taja kitu cha KIJINGA zaidi ambacho umeishawahi kukinunua kwa hela yako

Mkuu papuchi hainunuliwi wala haitolewi bure

Nimeshamjibu

Ndio nataka kucheka ebu sema basi

Shunnie bwana haya majibu nimeyaelewa saaana

Atakuwa haijui vizuri papuchi ni nini.? Asije fikiria ni samaki wa ziwani

Hahhahhaa asante kwa kuyaelewa mkuu wangu

Akuuuu

hahahaaaa

We kila tukikutana wacheka tuuuuu

Sikumbuki bwana

Hahahaha sasa unataka anune

Najua ana la moyoni ni venye hawezi funguka huku ugenini

Hahahaha

Hahahaha
Ananipimia tuu

Hahaha anakupimia na nn tena

Anipe ya moyoni

He he

Mie bado ila nataka kununua papuchi kwa 100k tzs so wadada karibuni

kadeti ya kijan elf 36 kpnd kile, japo niliuziwa usiku na pale dukan kulikua na zile taa za rang so sikujua ila yote kwa yote nilikosa umakin, hamna kitu sipend kama kuvaa au kutumia kitu cheny rang ya kuwaka sana mpk inawapa watu attention kwako, mf cover za simu za rangi, aisee yale majitu sipend mpk basi

Album ya alikiba