Hekaya Hekaya Entertainment Mboyz Band Presents

the following day ukiona ata malaya unatamani awe bibi

1 Like

Jamaa iyo story iko yuu tu sana kwanza hapo caretaker anarudi:D:D:D:D:D:D:D

1 Like

alafu gas inaisha:D:D:D

Hehe, sina mambo

Mimi nina phobia ya kulipuliwa na gas, niko na meko so na prefer kutumia kiberiti.

Nili-turn 25 na sina haraka na hizi liabilities,kwanza ni-accumulate tu-assests

1 Like

@snapdragon we have a certain watchman,by the time you manage to wake him up akufungulie utakua umeamsha flat yote

1 Like

same here i once lost a rela kwa incident ya gas leakage,so mambo na pipe za gas sitakangi, id rather buy 3mekos

The idea is, a wife ni a lifetime undertaking/liability …why hurry?

hii hekaya ni kama ile ya @agik :smiley:

I noted the similarity.

Hii mambo ya kiberiti imenihappenia tena juzi. Wacha nitaanika hiyo hekaya hapa soon