Hekaya

Nikuseo lakini pia Mimi sio mkamba but

Am very familiar with matuu

:D:D

Hii hapana KMU(kilimani mums uncensored).eti unaanza hekaya halafu unawacha watu na suspense,kama huwezi peana hekaya yote potelea mbali.:mad::mad::mad:…

I AM…I am very familiar with…

1 Like

[SIZE=1]let the chase begin…[/SIZE]
[ATTACH=full]22378[/ATTACH]

1 Like

Hii tabia ya kutomaliza hekaya sijui inatoka wapi? Yaudhi kweli.

1 Like

Na huyo momo sio wewe @Mrs4thletter ?

Admin huyu Mwalimu mchenzi sana, ile thread yake akiwa London alituwacha Kama tume hang, mimi kama senior village elder siwes kubali.

1 Like

@ Elgin io part ulete tufunge wiki.

Uncle hio hekaya ya Uingereza nitaendeleza sometime. Niliona kama nimemulikwa,After posting hio hekaya huyo dame mlami alinitext whatsaap…but sio kuhusu hio hekaya. Mi nikaona maybe wao hunimonitor. Hio hekaya ntakuinbox.

You will never know

Unajua aje kama mimi pia so fisi

…the hunter becomes the hunted…
[ATTACH=full]22449[/ATTACH]