Hello from Tanzania

Nipelekeni Jukwaa la JF

Ndio, hicho kitu tumejaribu kuwaomba sijui kama watatusikiliza.

Uzuri wameshatuwekea Moderator kwenye jukwaa hili letu, sasa inatakiwa tuwashinikize kupitia Mod wetu ili watengeneze App

Hapa ulipo ndio jukwaa la JF mkuu, uzi wako ushaletwa huku

Ooh okay

I hope they do, at least waiweke tapatalk

Ngoja tuwasubiri

Maisha ya ugenini bana, hapa hata sielewi elewi… Maana tulizowea kule kwetu full kujiachia…

Hapa pia ni kujiachia tu mkuu

Tutarudi hewani tu

… ni kweli!.. Hawa KT(KENYA TALK) hawana app kule App store?

… ha haaaa!.. Kuna mwenyeji wetu ana matusi huyo! @

Akitukana najifanya simuelewi:p:p

Wapi Jamii Photo?

Bado halijatengenezwa

Tunalisubiri kwa hamu tupunguze stress zetu. Lilaaniwe fashist la chatle.

Amezingiua sana aisee

Tuachane naye yanayotusibu kwetu ni makubwa kuliko hili la huyu nafikiri tuendeleze maoambano tokea ugenini.

:confused:

Mwifwa kumbe umekimbilia huku mkuu kimya kimya?

msongo wa mawazo