HELP: nimepigwa na Brother wa Dame wangu

Weka bisha ya ukipigwa sweep,kama sio hivyo peleka hiyo ujinga yako salon. Sere!

1 Like

From now henceforth, you will need to get the brothers permission for DFHKM. Kwisha wewe.:smiley:

5 Likes

Umelimiwa hiyo vita yote kwako?
Ukiamua vita kuwa tayari,lakini hata uwe nani,vita hauniudii kwangu.ntakupa kovu la karne wewe na huyo dadako.

Huyo sistako ni mkubwa ama mdogo wako?

I also doubt. Fellow climber, who’s definitely more masculine than this wimp.

2 Likes

Vyenye @Davidee amesema hapo juu. ION mujamaa hio hapana relationship ya kujiwekea. Toka bio kama ule msee wa Ngara, u better off out of that relationship.

There are several things that are not right in this relationship
[ol]
[li]kuchapa wife[/li][li]kuchapwa na brother in law or msaidizi wa kando[/li][/ol]
Umejiingiza kwa shida. She could have seriously wronged you but all that comes to mind now is that ULIMCHAPA. So its all in your hands, try and resolve your issues without violence and if that is not workable the get yourself another chick… I thought the working script goes something like …

Girls are like matatus, if you miss one you will catch the …

Does it matter?

Ala! kumbe ni wewe nilichapa asubuhi

hehe alikua analia kama burukenge?

Kwani unapatia @Bryan Brayo sistako na unajua ni sumbua

1 Like

FANYA VILE TULIKUA TUNAONA TUKIWA WATOI, ENDA TAFUTA MASTER KWA MONASTERY AKUTRAIN FOR TWO YEARS IN THE ART OF TAI CHI, AFTER THAT KUJIA HUYO JAMA REVENGE MCHAPE KA MBWA AKUFE KISHAOLIN MONK, THEN CHUKUA BIBI UISHI NA YEYE

10 Likes

Hahaha @uweskamau you never disappoint. Lakini chunga vyenye unaongelea @ol monk hapo juu

http://i.imgur.com/0QJ7my9.jpg

sasa unakula makali hadi unanyorosha m.woman… wewe mwere nini?

Run for the hills…the chick and her ‘bro’ will forever control you if you choose to stay