Hii gari ni ya pesa ngapi billionaires

Si wote chief. Lakini enyewe hakuna tajiri wa ukweli softie.

bently imeshinda ata nikasahau rolls.

Kuna Russians huangalia Bugatti wanasema, “Hebu leta hiyo kitu tujaribu nayo ufala”.
[ATTACH=full]91297[/ATTACH]

Sonko wengine huangalia high end vehicles na kusema, “Ferk it, weka hii kitu kwa barabara tuchezee”.

[ATTACH=full]91296[/ATTACH]

Wengine huchoka nazo wanazilenga.

[ATTACH=full]91295[/ATTACH]

1 Like