Hii huu mtandao una app

Me

Messi Leo sio messi yule wa Barca kabisaaa…hahahahaha

Hahahaha messi huyu coppy yake

Vya App kijijini tena nyie wa mjini mje nazo basi. C zinafaa kwa mtindi au uji?

Dhaaaa Ku browser n kaz yan
Bac hakuna otherwise

Nmekuja bby wang missing you more
Sweetheart inna

Kabsa yan mm nachukia sana
Kutumia web maana huku n mahali
Unaingia na kichangia Sasan shida

Kutumia web ingekua n bongo5,milladayo
Kwenda kusoma habar hapo sawa

Mtindi na uji unashuka tu bla kutafuna

Nakusalimia @mumu

Shukran mkuu…za huku?!

Nimefika binamu…

Hujambo?

Sijambo binamu yangu jamani shikamoo nimefurahi mnoo kukuona

Nami pia…

Kweli hakuna mtu wa kujitolea atengeneza app?

Huku mbaya nachoshwa na web
Embu unisaidie app kama unayo
Mkimbiz mwenzang

Hamna app wa mm…tuvumilie tuu

Hapa ndo tunakumbuka ile song
Cjui aliimba nan “tuvumiliane”

:D:D