Hii inaitwa ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni

Duuuuu wachina noumaaa, yaaani wanatafuna dada zetu na kuwapachika ujauzito. Mwisho wa siku tunalea wapwa.

Namshauri akamtafute DAB

vitu vingi vya kichina ni fake

Nilisikia kuwa ubalozi wa China umekubali kumlea mtoto huku wakimtafuta hiyo njemba ya kichina iliyoingia mitini

Hatimeae amejua kuwa hajui anajua

Dunia ina mengi

Mwambie apambane na hali yake ila asije tikisa hali za wengine maana hakuwa na timing kuwa kibali chake kinaisha

Anyone who’s gone to China will tell you how hard it is to communicate or send money out. Asahau maneno ya Child support.

Avune alichokipanda…

Hata hapa ugenini wapo yatakayowakuta…

Cc: @Mahondaw

Sheria ya china hawaruhusiwi kuzaa nje ya nchi
ni kosa la kitaifa kama kuhujumu uchumi.

Mm nampa tu pole amshukuru tu mchina kwa kumuachia katoto ka kichina apambane alee mtoto wake

[COLOR=rgb(20, 20, 20)]mtoto anaitwa nani?

Hivi makonda alimsaidiaje huyo mdada ktk lile zoezi la singeli mazeli

Apambane tu na hali yake hakuna namna

Huyu kaingia King kwa mchina Kaaachiwa chata,sasa kuna wengine wanaingiaga king kwa wa bongo wenzao na wanaachwa solemba vile vile, wanabaki na hasira tu

hizi drama za Bashite sijui zitaisha lini

Xing jin yin-yang :D:D:D:D:D

Nipo mkuu

Cc @Smart911

Safi sana. Kukuta ndugu ugenini, inaleta faraja!