Hii inatokea Tanzania Tu!

Vipi dada h umemuona?

Nimemuona huku katika nchi za watu na yeye kalazimishwa kuikimbia nchi yetu pendwa

Hahah!! Nilimleta pia nilimsisitiza akutonye ila hakukupata hewani

Mimi nimepata taarifa kupitia gazeti la Mwananchi la leo, wameandika JF ipo Kenya Talk, vinginevyo nilikua nishachanganyikiwa kwa kua nishakua teja wa jukwaa letu hili

Hahah!! Pamoja sana kiongozi acha tufurahie maisha

Hahahaaa, maisha ni popote tu mkuu

Hakika…

Tanzania kisiwa cha amani. aiseee inahitaji moyo wa chuma