HII INATOKEA TANZANIA TU!

Hahahahaaa. Umeonaeee.

Ila kwa sisi wa Tz Mods wasingekuwa wakali jf isingekuwa sehemu salama kwani ingekuwa hakuna tofauti na vile vijiwe vya wavuta bhangi kwani lugha hizi ndio zingetamalaki. Hahahaaaa.

Tuwaachiage tu majirani zetu ndio wanayaweza haya.

Ila pamoja na yote bado kua na uhuru ni muhimu sana Hajar, waturudishiage tu JF yetu bila kutuwekea vigezo na masharti amabvyo ukiviangalia ni kama vikwazo flna hivi

Hahahaaa. Ndio Tz yetu hiyo Sesten.

Neno limekaa mahala pake Hajar, umekua mwanafunzi bora

Ngoja Jiwe aione hii

Tutafika tu Hajar, mdogomdogo

Tunatangaza ili usione kuwa ni suprise, kwasababu kwa suprise huwa mnakataa sometime

Hahahaaa. Hajar tena mzito kuelewa ila akishaelewaa Bhaaaaasss.

Hahahaaaaa.

[emoji16] [emoji16] [emoji16]