hii mambo ya ghosts mombasa huwa kweli ama chocha, i have never been

Hizo ni hekaya za abunuwasi.

Hapa Malindi kuna ng’ombe ( zebu) alikuwa akilala kwa petrol station daily, hayo maeneo ya booking office ya simba coach, asubuhi ikifika anaamkia mrando sokoni akila mabaki ya vegetables, mahindi na some fruits. Mwenyewe hakuwahi jitokeza kwa hivyo hakuwahi kujulikana. Sijui kama angalipo but wenyeji walisema yeye ni jini wa kuchunga petrol station.

Sina hekaya for now. Ghosts used to show up in traditional African dances, something about the vibration of drums. It was a normal thing. Speak to any 90 year old + Kenyan and they’ll give you related info. Just because we chose to ignore that aspect of being African with the adoption of christianity and Islam doesn’t mean the spirits were banished to oblivion. We just chose to pay attention to different spirits.

Story ya nyawawa huwa vako ama ukweli juu sijawahi sikiia hao ma ancestors wakipita. Niliambiwa wanapiganga raundi Dec :smiley:

Nuuh fam I think I’m good, that’s one exercise I will be avoiding.

:D:DNilisikia ukifunika hiyo nyawawa na basin some old woman shows up in that basin…nilijaribu sikuona anything.

I’ve experienced this a few time, fuck it’s the worst thing, Unaona shetani flani ikikuja inakukalia kwa chest and you cant do shit!

You tried tricking spirits, beings that can already see you and your actions.:D. Spirits just lack bodies to execute deeds, otherwise tungekipatapata. Just like we are limited by our physical bodies from teleporting through walls, they are limited by their lack of one. If a chance shows up to invade (obsess) a body, they take it with open arms.

Kuna tofauti ya jini na ushirikina. Siku hizi watu wa biz wanatumia uchawi. Something that I have seen with my own eyes.

:DInakaa umejaribu kuuza viatu pale Ngara. Hio Realm ni moja, hata ya kanisa. Inadepend ume summon nani akufanyie nini.

I do have a friend hawker. He told watu wengi tao wanatumia ushirikina kuuza. Sio yeye pekee alishow hivyo. Hapo Dandora Total kuna mnati alikuwa akiuuza jaba. Youth used to come from ruai ,githurai, ,ruiru,huruma,kayole, kawangware ati wanakujia mogoka. What I found it weird is that huyo jamaa alikuwa akiendea Jaba hapo ngara like all the other trader. He used to sell probox mzima. Baadae ni kama hakufuata masharti jamaa alisota Hadi probox aliuza. Akasota akarudi ocha.

Aliruka masharti ya jini. Anyway it’s not fair playground in such businesses. That’s why the owners never grow them to ‘companies’.

Kuna Mzee aliniambia if you want to ruin your life ingilia ushirikina. Humaliza familia yako yote. You will never be happy.

Hio uchawi huwa unakaka inakuitisha ngombe, ivo ivo inaendelea ngombe tatu. Alafu inakuambia sasa utupee uncle ivo ivo auntie hadi unaisha mzima mzima.

Nyawawa ni cyclone?.

:D:D:D nangoja @Jimit aseme ukweli kama ni ukweli nyawawa wako. Nilisema nkiwaskia natoka nje kuwa record

Hiyo nayo niliskia personally.

He told me you can’t go past 15 years. At the end you turnout to be more miserable. You will never have time to enjoy your sweat. Kila time ni kupeleka pesa Kwa mchawi. Kila wiki ama mwezi mwenye hizo dumbaa lazima umpee kakitu.

Mimi mara ya kwanza ilinishtua nilitoka kwa bed mbio. Kama ni ghost, then I do sense it’s presence, huwa naskia nimesisimkwa na malaika najua am not alone:D:D but they are harmless

Very true. Lakini na wewe biz unapiga kama ni kuuza smokie wasee watatoka hadi upperhill kukula hadi smokie zako.

Heri tu mtu apige mboka safi aomoke clean. Hii ingine bana hakuna cha bure

Tupatie story mzima…(hizi story hunijazz)