Hii upeasant imezidi

Haya mambo ya kuchunguza wanaume na pesa zao utajipata umeolewa, msenge wewe.

Were your uncles drivers of Forward Sacco matatus?

Hii umama uwache 2018 ukivuka next year

Mzae anararua mtura na kachumbari et al, na junior na wife anawaweka na skumz kama rabbit.

Kuna ndume mbili hapa hupenda kufuata fuata kile wanaume wanakula sijui hawataki kwa sukuma kusiharibiwe au nini.

Muongezee basi,ama niaje? relaxisha kujifanya

Peasant analysis …

Lakini hii nayo imenikuna … hehe

What were you doing there ?

:D:D:D:D nyani haoni kundule,kama unatumia hizo.matatu lazima pia wewe ni peasant.

Hehehe enyewe hii ni umama reloaded

Kuna wale hupikisha kaquota kwa busheri saa ya lunch on daily basis, na Bibi na watoto wako Kwa nyumba, it annoys me but I remember that it’s non of my business.

Hakuna kitu tamu kama mtura na ugali.

Your profile picture is raw upesantry.

usikuwe busy body kasee