Hiki kizazi kina shida mahala..

iko wapi sasa, Mbona mnalia mno

Labda uache kuchepuka ubaki njia kuu

T

Tatizo hamuoi mmekaza

Uvumilivu ushike hatamu katika kipindi hichi kiGumu, tugegedane tu kipindi hilo tunalifikiria taratibu

Mapema mno mkuu, Asubuhi hadi jioni hata huja shake well before use anaanza kuleta ndoa

Mnakuwa cheap sana afu mnataka ndoa mapema…Haoi mtu mwaka huu

Wenzako wanaoa mkuu we endelea tu kuwepo…hapa nina kadi nne za harusi na nyingine kibao sijachanga.

Hujui siku hizi ndoa ni mtaji Mama ndio maana kadi kwako zipo nyingi, ndio maana hawa dumu

Ndoa kudumu ni kitu kingine lakini harusi zipo na ni nyingi. Watu wanaoa na kuolewa. Tatizo ni kwamba mnaangalia mambo ya kwenye mitandao,mnajudge watu kimtandaotandao…wanawake mnaowaona mitandaoni ndo mnahisi wanatafuta kuolewa…nje ya mitandao maisha ya kawaida yanaendelea…kuna wasichana wazuri kitabia na wanaume wazuri wanaoana.

Unamaanisha hao wa mitandaoni ni tofauti na hawa wa huku mitaani?

Hapo sawa

Hahaha.

Mahaba ya wizi hayo.Mtu hata Hamjafahamiana kiundani?

Wapo wa mitandaoni ambao sio wabaya. Mitandao imejaa showoff zaidi,wadangaji na wanaojiuza wapo wazi wazi…so mnapojudge kulingana na mambo pamoja na stories mnazoziona mitandaoni sio sahihi.
Binadamu wazuri na wenye maadili bado wapo.

Tatizo lipo kote kote. Jinsi unavyoanza ndo jinsi unavyopokelewa. Kabla hamjafahamiana vizuri tena inawezekana siku siku ya pili tu unamuomba uchi unategemea nini?
Jinsi unavyomuaproach na yeye atakupeleka hivyo hivyo. Jaribu kwenda kistaarabu ukiwa na nia ya kujenga mahusiano mazuri…hutaona anakutreat kidangadanga!

ndoa ndo kila kitu aisee, tatizo mnachagua sana ndo maana mnaangukiaga pua

Enyi wagalatia…ninani aliyewaroga??

cc @Smart911

Hahahahaha

Hahahaaa. Hawana jema.

Siku hizi wanawake hawarembi tena kama zamani…

Cc: @Mahondaw