Hino trucks

Sande sana boss. Being yake kichwa na shethi? Na body ya sai raj cargotuff itakuja aje?

Job nimeona sai raj pick up Dmax wanaweka na 350K very expensive. So hii size itakua expe sana. Go a metal body client aki demand uweke fittings za card board pande ya ndani.

I can point u this truck zenye hutoka Nairobi jioni…inadeliver mzigo mombasa asubuhi…inafika Nairobi jioni…inabeba mzigo ya eldoret inafika asubuhi.
48hrs imetoka Nairobi-Mombasa-Nairobi-eldoret. 1st hand experience. FSR haihemi kama Fh. It’s a work horse zile zinabeba mchanga Masaku na Mai Mahiu

Thanks. I was trying to save on fuel with fibreglass lakini wacha ikae. Sasa wagithomo shida ni hii FSR ni meta sita a whole 2M above my budget so nijikakamue ama? FRR ikafikia hio sifa ya FSR?

There are scanty reviews about Hino but hata Australia Wanalia consumption most likely juu ya big engine

A while ago you wld buy FH and wait for a whole year before delivery siku hizi wanakubali kukopesha.

FSR for a long term investment. That machine never gives up. Sorry but I happen to work closely with our logistics department as I deliver stocks to my customers. So far FH na brakes hazipatani ikiteremka Mai Mahiu lining zimeng’oka…delay…delay hadi customer anajam .

In that heavy sector my friend, Mitsubishi.

…that part of fuel innefficiency ndio the first thing a hino owner complains about

What about the Mitsubishi Fuso Super Custom? I recall JM Baraza once describing it as an FH on steroids.

http://farm5.static.flickr.com/4049/4308768603_71a7d15b24.jpg

Wewe endea kitu watu wako na experience nayo that is Mitsubishi (breaks huharibikia museum hill ikitoka kinangop ikiwa na around 5 tonnes ya viazi) na Isuzu
I have seen an Isuzu taking timber to Mombasa. Then coming with mangoes and other goods to Nairobi,inakimbia kinangop unachukua mbao zingine

Ndio nilikuja hapa kuuliza boss. Sasa ni Mitsubishi Vs Isuzu na brake zinaeza Mitsubishi so far. Niambiwe ubaya ya Isuzu hasa FRR coz FSR is winning

He ndio mambo your. I don’t know why Baraga says Isuzu is a late entry in the game behind Mitsubishi yet TX has been here all along

A friend in the oil trucking biz swears by FH. He tells me what Isuzu has is torques which messes the studs and propeller shift mara mob. Mitsubishi on the other is best on long journeys

Hiyo story ya propeller shaft na diff nimeisikia pia.

Hii kwetu tunaita ‘ndae’…ukitaka kujenga ploti kama Mbirrionaye @Wakanyama nunua haka. Cost saving.

MIT canter juu sioni ikibeba vitu mzito. But always think abt the rainy day. MIT lakini utafute dereva sober.

Inshort there is a truck for every job. Mimi nam advice anunue canter since ni foodstuffs anabeba. Goes easy with the fibre body too.

Canter ni Mitsubishi HD which is smaller than FH, sio?

Kwanini mnasema hino inakunywa na kuna ile ya turbo na engine cc ni kidogo kuliko the rest in that category

Greed makes people exceed design specifications and then start blaming the vehicle.