Hivi hamna hii application katika google play?

Wapi chief Mkwawa

Me nikajua n mmojawapo ya mods wa jf haya bwana

Yan n mm naona haya mads au na wenzangu mnaona?? Tushazoea jf ndio shida tuvumilieni mwanzo mgum tutazoea tu

tumia uc browser, hutaona ads

Ni mod wa huku Jf ndogo

Asante kwa taarifa umeamka lakini??? Jana nilikua napitia threads za wakenya huko jukwaa la sex and relationships nimecheka sana ni wanatukana live livw

Salama salimini, hofu kwako

:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p Wanachekesha sana aisee

acha tu kule nyumban kulikuwa na mpangilio mzur sana inabidi tuzoeee

noma sana kule kwetu ban inakuhusu

Wallah nimecheka naona ajabu

Yan mods atakuachaje lakini sikuwah kula ban jf niliwah pata warning

Eeh mdogo mdogo

Cheka bana unyoshe mbavu:p:p:p:p:p:p:p

@Miss natafuta kwenye uzi wake aliambia na mkenya utatupa sumaku… Miss natafuta hakuelewa ana maanisha nini akaanza kuniuliza

Ahahahahaha:D:D hii ni balaa

@Mwifwa nimekua senior na mie s mchezo wapi beira baby boy, gudume

Verified User wengi kule JF wana fake id.

Mimi ndiye The Tweet wa JF ORIGINAL.

Ok, kwa hiyo ulikuwa na ID ya verified pia?

Sijajua walipo huenda bado hawajapata taarifa za kuja huku

:p:p:p:p:p:p:pnaona posho imeongezeka

Acha kufukua makaburi hahahahahaha

Ndio,ila ni kwaajili ya official issues tu.Si salama sana.