HIVI MABINTI WENYE AKILI ZA HIVI, KICHWANI KUPO TIMAMU?

Hujawahi kukutana na mtu unamuelewa mwenza ukatamani akuanze?? Mi nshakutana nazo na sijawahi kushindwa kumshawishi mwanaume anitake na hamna aliechomoa kunitaka. Wala sijipayukishi wala kuomba namba ilaa namba ataomba mwenyewe tu

Halafu korosho zenyewe ungeziona, ungeweza kucheka na jinsi anavyozila kwa mbwenbwe

Unajua huyo manzi kuna muda hata kicheko kilinibana nikajizuia, mbwembwe nyingi anatafuna korosho kama mashine ya kukoboa

@Mahondaw wangu na hakuna kitamu au kizuri kisichokua na majaribu…

:D:D:D:Dmweza uyooo

Ni PM namba zake please

Una bahati nao
Naona nyota yako inaruhusu