Hivi mwanaume unabebaje ki "nainai "???

KUNA WANAUME WA MKOA FULANI NIKIWATAJA MTASEMA NAWAONEA

Hiyo wanayosema ni fashion nimeiona sana dar,najiuliza wao hubeba nini humo?
Wanaume wanazidi kupoyea kwa kasi ya 4g kwakwel

Hata huwaonei nakusaidia “wa darrrr”

:cool::cool::cool::cool: angalia wasikuanzishie vita

Hawanaga vita hao labda wanichambe tu :smiley:

Basi hao ni Wanaume wa Dar

Hio style wameipata kutoka kwenye series ya Narcos…wanaenda na trendy…ni u_bwabwa dume zima kubeba kipimajoto …sio Dar tu hadi mikoa mingine wanabeba

eti kinainai. jina linachekesha na halijakaa sawa kwa mwanaume. Eti “wife kile kinainai changu umekiona wapi”

“Kipo hapo pembeni ya dressing table”. Ha haaaaa juzi nimepanda daladala na kijana mmoja kakibeba nikawa nashangaa kimoyomoyo. Ila kilikuwa kizuri kweli nikatamani kiwe changu

anajibu “nilikiweka hapo kwenye stand ya mikoba yetu mpenzi”

Ha ha ha, eti mikoba yetu.