Hodi huku nimewaletea fursa mpya kabisa.

Uku ni kupatwa kwa Sj naona ume amua kuchukua na ID yake kabisa jamaa hua ana kukosha sana !?

Mbona huu mwandiko kama siyo wa Ontario! Au na wewe unafuiata nyayo zake?..

wakwake mkuu na ameshatupia

Hata mie nauona kama sio wake.

Kwani maandishi yanatofauti kubwa na kikawaida yule jamaa akiandika uzi haandiki mistari miwili mitatu lazima aandike gazeti la kutosha.

Ila Mkuu huenda ikawa ni yeye pia labda ila kaja kivingine.

Atakua sie yeye aisee,
Hata Picha kashabadilisha, kaweka picha yake halisi

Duniani Wajinga hawaishi…!!!

Mkuu Ontario karibu huku ukimbizini.duuh kumbe hata wewe ulijua chimbo hili lina wasaka fursa.

Utawapata tuu wapooo.nikikumbu za fursa za kule nyumbani .nabtuuu kutabasamu tuuu

hello

[ATTACH=full]183918[/ATTACH][ATTACH=full]183918[/ATTACH]

Gazeti zimaaa[emoji1] [emoji1]

Wasaka fursa washindwe wenyewee[emoji115] [emoji106]