Hongera sana Rais Dr. Magufuli kwa kuwaamini Watu wa Mara ( Musoma ) katika Idara ' Nyeti ' na muhimu!

Katika JF one of the hopeless and useless man is this so called gentamycine.

Kumbe mlishamfahamu, huwa linaandika kama vile linajiona lina kitu kumbe takataka…

Hakuna mtu anaelewa, mmeumbuka na zakaria, hupozi kitu mzee, booomuuu

Najiuliza kwa nini jamaa hataki kuutembelea mkoa wa mara tangu awe rais. Mikoa yote ya kanda ya ziwa kafika isipokua huo! Kunani hapo?

Mh!!!hivi kwanini wajinga tz hawaishi…unaweza vip kuandika utumbo ka huo?wewe unafaidi nini kuteuliwa kwao?mbwa koko wewe,UTAPATA TABU SANA KWA UJINGA HUO