Hotuba ya bajeti mbadala ya kambi ya upinzani iliyokataliwa Bungeni leo hii

[FONT=courier new]Naamini na nina uhakika tena wa 100% kuwa hata walioikataa nao pia wataisoma tena pengine wao ndiyo wanaweza wakaisoma na kuielewa vizuri hii kuliko ile nyingine.

Shikamoo ’ Teknolojia '.[/FONT]

Inamaana wafanyakazi wa wizara ya mifugo na uvuvi wanakula tu mishahara.!

Haya sasa jiwe linazidi kuumia, wamezuia isisomwe bungeni, wakazima jf yetu lakini huku sasa hiyooo imemwagwa, jiwe upo? jinga sana na utakoma mwaka huu.

Dah nikamaliza kuisoma nitarudi kutoa hoja, ila hadi nilipofikia naona ukweli umezidi uonGo.

Me nawalaumu Watz walioipigia kura CCM… Natamani namna ya upigaji kura ingebadilika nchi hii… Wale wanasheria wa Tanganyika peke yao wangetusaidia kupiga kura kuchagua Rais wa nchi hii!!!

Hiyo ndiyo nzuri angefupisha ingekuwa kama taarifa ya bunge la ccm

Wewe lazima ukandie, sisi wengine tunalinganisha na bajeti yenu hewa. Usisahau hamtaki kabisa isomwe, maana yake hamtaki mawazo mbadala utadhani yatawatia mimba.

Ndiyo mama tuko hapa tunakula mshahara tu maana hatuna kazi za kufanya!!!

Really? Bila shaka inayo kasoro lakini sidhani kama ni kweli vichwa vile vyote havijui maana ya bajeti. By the way how comes you are also here?

Bila kuwepo humu bk7 atakosa hatatembelea msalani.

You can imagine mapato na matumizi inageuka hoja za Lisu; Aquilina na miscellaneous kibao.

Makosa hayo yanadhihirisha namna upinzani walivyo weupe ; porojo mingi ; uhalisia sifuri.

No wonder kila siku mnamlilia Lisu hata kwenye bajeti mnamtaja kila Mahali.

Kiharusi hakina tiba, hata hivyo jitahidi kwenye mabadiriko yajayo Jiwe atakukumbuka, unajitahidi sana kwa upuuzi. Mkaribishe mpuuzi mwenzio Wakudadavua mje mhare hapa.

kuna wizara zinapendelewa sana aisee

Wao walitaka iingie kwenye Hansard za Bunge pia.

Vv

Ahsante sana mkuu @Pascal Mayalla, ngoja tuendelee kuvuta subira na kuomba turejeshewe uwanja wetu wa nyumbani kwani tunakosa rejea nyingi sana kwenye jamvi letu kuhusu haya mambo.

Huo uzi wako uandae kabisa, siku tukirejea unaupost moja kwa moja

Kama hayakuwa na umuhimu kwa nini imekataliwa kusomwa? Ingesomwa nini kingeharibika kwenye bajeti yenu ilihali mnauwezo wakuipitisha hadi isipojadiliwa

kwani tayari yana platforms zake na huko yanaendelea

Ni zipi hizo platforms? Ni akina nani wanaendelea kuijadili huko?

Ingewezekana wangeirekodi kwenye closed door recording room watuletee audio. Njia hii itawasaidia wale wasio na muda sana wa kusoma au kwa sababu kadhaa hawataweza kuisoma. Siku hizi njia muafaka sana ya kusambaza ujumbe ni kurekodi hata kwa clips fupifupi na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii ili kuipenyeza kwa ufanisi sana kwenye hii jamii inayopenda kuongea na kusikiliza zaidi kuliko kusoma.

Ni mawazo yangu tu.

Hayo tu ndiyo ishara ya watu wasiojua maana ya bajeti? Kwa uhakika Watanzania takriban wote wanaendelea kumlilia na kumuombea Lissu; ispokuwa kikundi kidogo sana cha watu wanaosumbuliwa na “inferiority complex” mbele yake.