House hunting

I know place emba hapo karibu taj mall atapata keja ya 8.5

Chukua hiyo 9k mshikie bedsitter spacious Kahawa Wendani. Hizo parameters umepeana ni impossible braza…ni kama kutafuta range rover ya 1500cc

1 Like

campus has worse company than huku nje.

Haha acha ufala

More details will be appreciated

Kwani 1bedroom ni kuanzia mangapi??

You might be right…so i"ll ask again where’s the ideal place for such kuanzia life

nilikuwa naangalia towards Nyayo. Karibu na stage ni kupoa? unajua cha muhimu ni maji

1 Like

anywhere is ideal. lakini anafaa aende place vitu si expe sana.

Still waiting for this line “peasant thread, can’t relate” as if some of us were born and brought up at statehouse.

3 Likes

Consider Lower Karen (Highrise). With 9k he can pool for a 2 bedroom for 2guys @.Shida ni maji and can walk to town kama amesota.

Boss, some of us were thrown to the deep end of the pond, nobody to accommodate and pay for rent, but somehow we managed to learn to swim and catch fish at the same time.

4 Likes

Highrise is expensive i have a pal staying in a two bedroom house rent ni 30k

Ungenipea examples ningeshukuru

umemuuliza kwanza mahali angependa kuishi?

kitengela…

ploti za paipu refu kama effiel tower ukichoka na maisha unajirusha frustration ziishe

7 Likes

Pipeline, Mlolongo, Syokimau achana na huko ni kwa wakamba wajinga sana… Mtafutie Bedsitter huko south B, C or LA

Ronga iko keja za 9k one bedroom na ferare ni 80/- ama oso

1 Like

Ni bed shitter lakini
Dropped Pin

https://goo.gl/maps/8oo2ord2ZhC2

Patanisho kayole.security Iko chonjo.

Dago kwa wakanyaks

Niaje wakameat?