How do you slaughter a cat and sell it's meat as samosa to the general public? SMH

:D:D:D

Nini hatujakula hapa kenya???

Tunaita komba kwa kichonyi

1 Like

hii sijaskia:D unless unasema fuko

haha its common talk thats why mbwa huuma tu paka nakutembeza

siku hizi ata ni kama samosa zingine zinawekwa nyama ya watu,vile wengine walipatikana bila mikono…so long as ni mungich anauza all of you will aprove

In Kongowea Mombasa samosa za paka ndio watu huuziwa, ingia YouTube tafuta hio findeo

1 Like

@Afro tafuta huyu jamaa to sort the cat menace you have.

2 Likes

Hapa hakuna kitu…I’ve eaten porcupine huko home na Ile squirrel kubwa huwa inakula macadamia nuts,white meat by the way .Kitu nkishindwa kula ni Mole,hehee it looks weird hata ikiwa alive

Hii si news.

Naona hio nyani @MISCHIEF alikula ndio ilikuwa inakusomesha…now go kill yourself.Shenji

2 Likes

Nimeachana na mshikaki za tao sasa.

1 Like

Huyu ni @Jirani

Ulijua aje?

from doggie meat, into pussy aka cat meat…zile vitu watu wa nyairobimnakula…yuck

http://nairobinews.nation.co.ke/news/man-caught-city-selling-samosas-made-cat-meat-identified/

Mnakula pussy like literally

From punda to rats to dogs to cat…kama mende ingekuwa na nyama hata hiyo ingekuwa victim.
Ama huyu ndiye aliponyoka na ile paka ya ule mzungu alikuwa anapeana 10k reward to whoever will find their kanyau. :D:D:D

Soon Kenya will be like China where they can eat anything that moves.

Kabla nebuchadnezzar aanze kukula nyasi

Hii tuliona lini wangwana?

Mangoose