How I won my first bet

:D:D:Dhiyo budget niko sure ata haikupita 2k
[ATTACH=full]95901[/ATTACH]

Ikiwa alikuwa mshamba, basi umesahau kuelezea ulivyomfunza kuvuta bangi bila kukohoa vilivyo…ama alikuwa jike sugu?

Nishadevelop immunity Kama ya Bingwa…it will soon stop making sense kuleta sweeps:D:D:D

Fake story M2Fake.
Kuja sasa na ile lame comment yako.
'I don’t take it seriously kama Mathaais '.

Blue moon kwa wine???
Bluemoon ndani ya Sminorff ama Changaa ndani ya chupa ya Ciroc aa Yohana mtembezi can work lakini vodo ndani ya chupa ya wine like unatubebaje???