Ongeza leftover pork, stir kiasi. Alafu uweke maji kwa glass!
@Nefertities kumbe Jay ndo @Jirani?
Moving on,hizo chipo mwitu zinakuwanga tamu Sana. Na wale wanajifanya hapa ati hawajui kinachojandiliwa waache upus. We all know most bachelors,bachelorettes n those living alone usually have done this one time or another…
hapo sawa…na pilipili kibao!
Biraru anaweza pika hata mawe
Kama yataweza kuwa edible why not?
Are you a multi handler?
hehehe…wacha kuhate at my culinary skills
Scumbag osorait
kweli kweli how to dryfry chipo…EXPLICIT! !!!
hehehehe…we tiga siasa meni…niuragura njohi!
hizi sasa ndo zile wanapikia watu sumu
Like in seriously? You craving to be fed on junk food coz that’s what it is?
I like your profile pic. I prefer an ice cold stoney by the way!
[ATTACH=full]11107[/ATTACH]
perfect match, will supply the ice cubes on the wedding date
Biraru tusizoeane Hehe. Hiyo chakula huwezi kosa kitambi
You have never lived if you have never had chipo @biraru style alafu you wash it down with an ice cold Stoney Tangawizi. Get living my niccur!