How Uwes will lose his X6

Doesn’ that club have CCTV?

Ili tuende tukaibiwe ‘ile club ya wezi’ ???

Seeing as you are the sharpest from your village, I shudder to imagine how the rest of the village reasons. Do I need to tell you that it was a typo given how close " f" is to “g”. Najua unajifanya ng’ombe sijui ukamuliwe na nani:D:D:D:D. Good night bro, UOTP kama sio kuiba kilibwo.

Si ungesemwo wewe no comrade wa UOTP before matusi ianze. Now you make me feel guilty . Anyway kuliibwo. Lala poa daddy

Na vile wakenya wanapenda kudangle keys za gari kila mahali,

Mbona anapea strangers jacket iko na stuff. What a fool. Unaezaje pea malaya za club jacket iko na keys za gari na kila kitu alafu unaanza kuita manager na bouncers? She knows them better than you do. naskia hasara hakuibiwa hiyo gari. ati unahang jacket kwa kiti. kwani ni kwako?

Anyway, I suspect a manufactured story.

Could he be from county 14 by any chance?

Yes ni kutoka huko.

:smiley:

Hahaa I know the bugger. We grew up pamoja. .from nursery school :D:D:D

@Luther12 kuja uone hii story

Hehe…I have an idea. Kuna mwingine alipoteza 5l he was using for school transport in Thika in almost similar fashion, years back.

:D:D:D, you mean Ile ford 3610 ya Gichinga yenye head light ilikuwa torch ya ever ready?

:D:D:eek: