Huku tutajua mengi kuliko TZ

hahahahahahaa…

furniture za mansion lake la mwanza…

Halafu mtu mmoja kwa kubana pua anaongea “tunasafisha na kuinyoosha nchi”

Akili yake inawaza visasi na kuumiza raia

Haihitaji kuwa na elimu ya shahada kugundua kuwa hii nchi yetu tunadanganyana tu…kuhusu rushwa,ukwepaji kodi na mengine mengi…huu ni mfano mdogo tu.

Kweli kabisa…JF walishazidi kuchuja habari nao wakafie zao mbele huko!

Mungu wangu! !!

Mkuu umesema kweli tupu…
Issue kama hii uliotopea mfano HAKUNA aliyefungua mdomo wake japo kwenye ilani ya CCM ipo wazi kabisa…
Kuna mahali nasikia RIZ1 alisema tumempa KICHAA rungu atatumaliza wote.

Ndiye hasa anayemlinda huyo mtu hivyo pamoja na madudu yote ikiwa ni pamoja na cheti hewa

…mpaka naona aibu kuwa Mtanzania!!!

Halafu mpuuzi mmoja anasema eti anapambana na rushwa, wakati anapambana na maadui zake binafsi kwa kulipa visasi.

Nimkuja kuona kua afadhali ya huku. Unajimwagaaaaaaaa, sasa wazungu wanasema ime backfire kwao!

Awamu hii, rushwa itaweka historia!

Umeona eh! Tuajua mengi, bora tubaki huku

duuuuu

Ansbert Ngurumu alikuwa sahihi. Huku raha,unapata vya jikoni kabsaa.

hahaha aise Wa tz tunamatatizo sana sheria ni kitu kinachofanya kila mtu atimie panapo muhusu bila mkanganyiko sasa

Mkuu kuendana na kichwa chako cha mada, kujua mambo kuliko tulivyokuwa Tz na kweli hilo halina ubishi, shida hatua gani tunaweza kuchukua? Kumbuka huu uhuni unafanyikia hapahapa mbele ya macho yetu japo tunapeana hizi habari via link ya mtandao wa nchi jirani. suala la macontainer ni dogo kulinganisha na 1.5t ambapo hakuna wananchi wanaijadili kwa uwazi zaidi ya humu mitandaoni. Kwa ujumla umma wa watanzania ni wa baridi sana hata wasikie uchafu gani bila vyama vya siasa kupata platform ya kuwaaamsha wananchi inakuwa ngumu kidogo.

Tindo uko sawa. Watu wangesema sana. Inapokuja hoja inajibiwa kuwa risasi, then kuna shida kubwa. Labda international intervention, lkn hiyo ni kwa human rights violation na si mambo ya fedha ya ndani! Tunafanyaje? Watanzania naweza sema majority ni punguani wala si baridi. mtu kama Lembeli aliyetumainiwa anakuwa mavi, what else do you expect!

very primitive and uncivilized