Hussein Mohammed on Citizen.... Tonight!

Meanwhile, excerpts from William’s speech at Uhuru Park…

Na mimi nataka kumwambia bwana vitendawili, awache kuzunguka na fitina, awache kumangamanga, at anasema ya kwamba watoto wa Kenya hawatafanya mtihani, mimi nataka nimuulize bwana vitendawili kutoka Uhuru Park, kwa sababu yeye hajafanya mtihani wa shule ya msingi na hajafanya mtihani wa shule ya msingi… na hajafanya mtihani wa shule ya upili, ndio hajui maana ya mtihani ile watoto wetu watafanya mwisho wa mwaka huu. Na kama sisemi ukweli, nataka bwana vitendawili atuonyeshe certificate yake ya primary school na certificate yake ya secondary school…" Said DP Ruto

6 Likes

Tupewe updates wenye hatuonangi news…
Na niambiwe hao half a million ukambani leaders ndio wagani hao… Hata kura wa wakanesa wote zimefika hio budget? cc: @vuja de ukambani spokesman…

1 Like

A

Lets listen. Hear the guy’s argument as he does his thing alafu mlete maoni

Hussein Hussein

I’m just an innocent voter

1 Like

Huyu Hussein talks too much

1 Like

Just watched The Fifth Estate pale K24…wueh moto kuruka…Ngunyi anararua baaba na safari yake ya Canaan.

1 Like

kwa hii interview Ruto amesema the words “my frend” mara mob kushinda postings zote za uwesmake with his rhinos…

2 Likes

so far amesema 6 “My Friend” am out of the bet

He’s very careful, eyes on the ball its said

You can’t pin Ruto, we are not idiots.

This is bull…pure fuckery…wangetuletea Dr Kisiangani atupee hekaya

1 Like

stesheni za tv ni mingi sio lazima uangalie

He is a good debater, you can’t pin him, he revolves around looking straight into your eyes without stammering. Give it to him

wako pale kwa zukabaga live.
[MEDIA=facebook]id=10159300363285405;type=video[/MEDIA]

although I aint a fan of politics, nmewaona nkipitapita… Enjoy

:D:D:D:D
Sijui kama niinclude hizo za clip imechezwa na hussein

Ameulizwa about the nurses strike and what he will do about it akaanza kutoa fake stories ati our hospitals have enough staff, hata yeye SRC reduced his salary etc, at the end of it all hajasema anything meaningful only empty promises.

Omera,gini wasekao,donge jathurwa?samoro baba donj state wabiro matho kong’o mangeny.

That’s why he’s a politician and not a priest.

3 Likes

I am not surprised that was the one thing the naserians could find to criticise and even then they blind themselves to the fact that it is a matter for the council of governors,

1 Like