Huu ndio mwaka wa kupata BIBI kutoka Kenya

Mbona maswali hayaji Hajar, au kwa vile tupo Kenya ndio una wasiwasi? Yaani huku ni salama salimini kabisaa, hakuna wasiojulikana, wee uliza tu

Hahahaaa. Sawa nayaandaa naja nayo sasa hivi.

Karibu sana

Hahahahaha tupo kwa majirani
nimefurahi pia dada yangu

Ewaaaa achana na wajirani wa nyumbani tupo

Hakuna neno mdogo wangu tutaenda nao tu sawa. Hahahaaa.

Sawa dadaake

tumekimbilia huku …bora nirudi zangu Kiambuu nkatembee likizo kwa mara nyingine…naona watawala bongo hawatutaki sisi wana JF na wana jamii wote…yani hata nusiness ngoja tuzihamishie Kenya na Zambia tu …af kama vipi nioe Kenya kabisa

Nasikia wanajoto jingi

Namaanisha msiwawekee ulinzi mkali… Ama kutubania ili tuweze kuwapata

Asante sana

Nasikia ni watamu mno, hawachoshi kwabed

Hahahah

Watakutesa tu hao

Sasa tupo Kenya wakifunga na huku tunahamia Russia kuna forum kama hii ya MMU ina watoto wabichi kabisa,shida ni lugha kwa wengi wetu!

Sasa tupo Kenya wakifunga na huku tunahamia Russia kuna forum kama hii ya MMU ina watoto wabichi kabisa,shida ni lugha kwa wengi wetu!

Naomba unielimishe. Hiyana yamaanisha nini?

Karibu sana

Swali: Picha ambayo umeutumia kwa profile ni yako halisi au vipi?

Shukrani sana mkuu
Hapana si yangu.

Tutajifunza tu kirusi… Tena ndio itakuwa fursa yenyewe

Usiache mbachao kwa mswala upitia…

Usiteme big g kwa karanga za kupewa…

Cc: @Mahondaw