Huu Ujumbe uwafikie Tanzania Revenue Authority (TRA)

Ha ha ha ha, sio tutarudi kwenye leseni za vitabu kama zamani??? Maana SIRIKALI kama maji ya shingo hivi.

Thanks Boss.

Yale yale aise duuh!

Huu uongozi umejaa vituko sana aise.

Uko mkoa gani? Labda tujuzane…maana ushahidi wa kusema wiki 2 unapata kitu ninao…sema usaidiwe

Tatizo lako ulienda na sharti la mikono mifupi,vaa shati la mikono mirefu kisha hilo shati lisiwe na Mikono ya Birika iwe imenyooka,ukifanya hivyo dakika 0 tu unapata leseni yako.

Nipo Dar aise, Nipe huo ushahidi aise.

Kwema mkuu @Amalinze ? Mbona mimi nimejaribu kuvaa shati la mikono mirefu na kutokuwa na mkono wa birika ila jitihada zangu zimegonga mwamba.

Usishangae gharama zake ukaweka mikono kichwani

Pole sana…

Cc: @Mahondaw

Ha ha ha ha, gharama zinaweza zikakaribiana na passport.

Ahsante, tushajizoelea shida sisi wadanganyika.

Upo Mkoa Gani? Njoo ukatie Dar ndani ya Dakika 0 unaipata.

Nipo Dar mkuu nashangaa na sielewi tatizo nini, nimejaribu kunyoosha mkono lakini sijafanikiwa.

Labda mkono wako haujafika mwisho,ukiwa na KILO 1 unapata ya kawaida ila kilo mbili unapata ile kubwa.

Me nimefikisha mkono hadi mwisho ila naambiwa material yameisha.

Hilo alitarajie kabisa, hii nchi kushangazwa ni just a minute