Huu ukimya wa jiwe vipi?

Second lady kidoa

Yaani Kidoa au kidoti aka Jaketi duh Mama wa madini kaachwa au ndio wanashea.

W

Weka picha au forever hold your peace.

Hatakuwa ajafurahishwa na uteuzi wa Askofu Thadeo Ruwaichi kutoka Moshi vijijini kuchaguliwa na papa wa Vatican kuwa ndio mkuuu wa Roman Catholic Churches apa Tanzania

Amebaki kufyatua tu kama sisi

Mnao taka aongee tafuteni Panadol mkae nazo jirani, hakuna jamaa mchochezi kama yeye hapa nchini.
Lkn pia mnao sema kafulia mseme tumefulia, Magufuli atafuliaje na sisi tukabaki salama???.. Wote tuta fulia!!..

Hahah!!

Picha ya nini inayohitajika hapa sasa?

Anasubiria tarehe 1

Kimya kingi…

Akiongea tabu, akijinyamazia tabu…

Binadamu hatuna wema…

Cc : @Mahondaw