Huwa namind mnooo....

Sijambo sana

Nimekumiss

Na wewe huwa unamind?

Na mie binadamu ujue

Umemiss nini?

Sauti yako ukiita Slimtano

Nikajua huwa unashukuru km AKUNYIMAE KUNDE…

Duuu sapraizi nyingi huwa zina madhara hapo ndio utaelewa usemi unapo sema

Kusikiliza unacho sema haimanishi umeeleweka wengine wanakuwa na mawazo yao wanapotezea muda

Kitu ili kinoge tunapeana taarifa mapema unafika sehemu kila mmoja akili inaruhusu kuwepo kwaajiri ya tukio

Mikono yako ikislap my …

:saitan::saitan::saitan::saitan:

Huwezi kushukuru maana unakuwa umejiandaa kwaajili yake

Hujambo?

Mi sijambo mama mkubwa habari ya ukimbizini

Huku kuzuri mwanangu…no kurudi kule

Pole sana… siku hazifanani…

Cc: @Mahondaw

Usiseme kwa nguvu! Kuna haters my

Let them hate…their problem not ours!

Sa mi pombe sinywi! Na chakula utanletea kitandani!

Juice itafaa. Chakula kuletewa kitandani ni sawa pia

mmmmmh pole sana