I Am Azimio Lakini Frankly Raila Ameshindwa

Mkishinda, ntakuwa pale ndani tukikula pamoja.
Pengine hata nitakula mingi kukuliko.
Niko strategically positioned mtu nguyaz.

90% ya 13 million ishafika, media wanaonyesha kura ngapi?

Hii serikali ni ya mahustlers,watu kama wewe natupa nje

saaa hii @sani ako paradice bar anakula nyama
maneno ya kukula ugali na balozi imeisha banae

i thought ni mkamba pharmacy ndio alikula ugali na pombe

Utashangaa. Hii tunaigula pamoja.

Kwanza wale mps wa azimio wa kakamega are poor…wote itabidi waende sugoi

I sincerely hope Raila retires.
A Ruto-Gachagua fallout is going to take us to the joke that was Jubilee all over again.
Then can Kenya try finding its way around a president that has raw power at his fingertips.

If he plays by UhuRAO’s playback… aki he is too powerful to go unchecked…

Na ni kama umekubali mkuu?

GAME BADO mdau. Hehehehe

As I said juzi whoever wins will be a president for all Kenyans.
It’s a contest and a winner and loser have to emerge.

Voter apathy countrywide seems to have affected RAO more than Ruto.

Mpaka Chebukati aseme

There will be a rerun. Non will attain 50%+1

That is something I wouldn’t want.
Let’s have a clear winner and move on.

No… it’s not even close

Who do you think has it?

I voted blue, I too conceed
1.The Uhuru project tag on RAOs head was his undoing. Ati Azimio chairman.
2. The mountain clumbing failed terribly.
4. Voter fatigue from non Nyanza strongholds. Voting RAO and losing since 2013 especially in Coast, Ukambani and Western. In Bungoma RAO underestimated the Wetangula factor- didn’t even have a pointman). Mps like Didmas were pulling huge crowds and Ruto had been to the remotest areas doing harambees (RAO only went to Posta grounds Bungoma once). Coast. Rutos numerous trips bore fruits. Losing leaders like Kingi, Aisha Jumwa etc delivered. The port politics with Ruto promising to restore all port operations to Mombasa was a game changer. Ukambani looks set for a new crop of leaders.

Wewe ni meffi. umekuwa ukikula pesa ya azimio sasa vile Ruto anashinda unaelekeza tumbo yako huko ununuliwe?

Uhuru and his crew akina Manyororo wataibika sana.

Alafu kuna kitu Raila alitaja maybe by mistake akasema eti Atapunguza Rent. That didn’t go down well with the Gikuyu given that they are the major Landlords from the Slums all the way to the upper levels