I Have Changed My Mind

Hii ndio inafanya saa ingine nilale na jicho moja wazi…naona either atanimwagia asali imechemuka ama anikate mabolingo:D:D:D:D:D:D

Lakini huyu Abdi alikuwa naye anadungwa anacomment tuu na kufinya like button. Hawezi chapa hiyo ngamia na kiti kama akina undertaker na hulkhogan