I’m looking for my husband Asprin

K

Bujibuji sijui kwanini kila nikiona avatar yako namkumbuka gilesi mwenye wowo matata…ha ha ha

Hili joto lake ni upepo tu, muda utasema

Yaani Mkulu hanivutii hata nikimchora mwenyewe. Swala la kura hilo asahau labda pilisisiemu wamsaidie

Hicho ndicho kilichobaki kwa sasa kwa hao madhalimu

Joto la jiwe

Watu na mahaba yao

Mlete lee hapa

[quote=“Mwifwa, post:28, topic:163366”]

Mlete lee hapa
[/QUOTE
Ata sijui pa kumpata yaani ningemleta[/QUOTE]

hahahaaaa!!!

teynaaaa!!!

Msemo wa sky msio na mababe mbebe jiwe

hahahaaa!nambie shost

Poa shost wangu za toka jana

Huyu dingi katuchefua asee

Ahahahahahahah

Ukimuona mkamatee mgande mpaka nije kwanini aje bila kusemaaa

Cha muhimu tuelekezeni tupakue VPN soon mitandao itazimwa jamani

Hata mimi mwenyewe siijui, tuwaulize wanaojua

full kujiachia