I need me a wife...hii mambo ya kupika!!

hehe ukiwa solo chapo tano ni on the higher side so 150 tu you eat supper

@denis young …I can conclude you are not good with ladies.
At such stage one of your mrembo should be ‘wife material’ anaosha nguo, kupika ya wiki, na kanisa hakosi. Wale huja sato na atarudi jioni juu hafai kulala nje. Mkono yake isikonde kama za models( bure kabisa, mara nails)
Hehee…Things we did as boys. Hope Mungu huelewa ukora iko kwa kichwa ya vijana

Hukupika ukiwa campus? Hadi niliacha deni kwa mama mboga. The flyest lady in class approved my ugali managu. If i wasnt doing what i do, i think ningekua chef. Saa zingine mimi huambia wife na mboch wakae kando

Hebu shika hiyo kwanza alafu uingie pale kwa inbox utume picha ya mathayo ikiwa na jina yako na date nihakikishe wewe ni female…
https://c1.staticflickr.com/5/4125/5162763347_7a5884edca_b.jpg

cant relate.kumbe hapa ni vijana tupu.nilisahau kupika 5 years ago my frens

Mzee hauna bibi

Hehehe… Sisemi kitu. I can relate

Kuna venye kalife huhappen…mimi ata si kuoa nataka. Nikapata kadame kazuri naweza allow akae na mimi lakini hawezi pitisha miezi sita ama niskie nimekujiwa na serikali ati ni bibi yangu na tumefanya come we stay.

Hiyo kwanza ndiyo ilikuwa survival kule campus. Ata mtu hakuwa anashiba bana…kwanza huku unga ya ugali haisimami…

Mimi story za boiling ndio napenda… Nyama kilo, pili pili bullet Kama tano chopped, mboga Chinese (ile ya boarding school basically mboga mzima cut in half or quarter, viazi whole, ongeza chumvi na other kadhalika (royco, black pepper, mixed spices, nyanya na dania), all in one sufuria… Funika and come back after 10 mins to add water… Simplest bachelor, nutritious food… You’ll only clean one sufuria, plate, and spoon.

yaani na miaka yako 65 huna bibi kwa nyumba usituambie ako ocha please.so sad mzae akijipikia

Mwanaume saa zingine anapatanga overload ya kuma hadi unajipeleka dry spell mwenyewe…sema ngwe nikupatie kiOzil

hii ni noma, will give it a try kwanza vile napenda pili pili na spices

screenshot-ed

Hii taabu yote ya nini? There are several quick tasting meals for a bachelor, boil rice, beef, liver & some chicken on a sunday, so weekdays ni frying or stewing tu! In 30 minutes you have a meal!
Make Sundays meal prep days never had food problems when i was a true bachelor ’ victory loves preparation’

Ànatafuta bibi…sio Herpes.

nina bibi na watoto lakini kazi inabidi nikae mbali kidogo. i am not one to carry dirty clothes home…surprisingly i enjoy cooking so it’s no big deal…

@Kihii Kiaganu approves this comment. Ebu piga hiyo chakula picha juu inasound kama chakula ya mbwa…:D:D:D

Nilihama two weeks ago to a new place. Some of the females I met nimewaacha huko nikabakia na kadhaa. Sasa huku nimeanza utambulika pole pole…kidogo kidogo utaona nikiangusha picha za msupa hapa…

I recall nkikaranga kutungu with nyanya
Add royco
Add h2o size yake
Weka rice ndani
Ngoja chakula iive ki autopilot in less than 15mins

Went to maragua town huko murang’a courtesy of some buddies na tukaingia bar. Our host akasema walete mboilo kawaida. That was the day i saw a whole cabbage(the way i hated cabbage)cut into four quarters, imeiva na tumbukiza nyama. I ate more cabbage than meat and asked for the recipe.