I REFUSE TO BELIEVE IT..

Effin atheist… Kwenda lamba lolo freema!

So by your logic without a law degree huwezi jua dhambi? Kwahivyo Ukiona mtu akibaka mtoto hutajali juu wewe si judge? Gtfoh! Kalisha ujinga hapa…[ATTACH=full]163034[/ATTACH]

Mkuu Haniafu!

Shida yako unadhani nime-generalize kiivyo.

Nilikua na ishu na wewe kwa kuanza kua judge wa wanadamu wenzio!Mamlaka ya kua judge umeyapata wapi?Ni dhambi ndio,wewe mamlaka ya kuhukumu wenzio umeyapata wapi?

Binadamu haitaji “dini” kujua baya na zuri,we innately know it!

Na kukalia hicho kiti cha vioo mbona ni jambo rahisi sana!Nimekalia viti vya hatari zaidi ya hicho!Labda ulete kingine mzee!

You can quietly scrap your religion within the confines of your bedroom!

Personally I do not need it.It is for loosers!

Acha matusi mkuu Wakanda,jibu hoja zake!

Shida ya watu wa dini ni very violent,I really do not get it!

Hiyo part ya …he needs money sijaelewa

Most of the world’s religions can easily collapse if simple and basic questions were to be asked:

  1. What was God doing before creating heaven and earth and all that is in? Hell?
  2. Who does God listen to when the Iraq and US army are praying before going to war? The one was has most advanced weapons?