I SUSPECT NIKO NA UTI

[SIZE=5]Leviticus 20:10[/SIZE]
“If a man commits adultery with the wife of his neighbor, both the adulterer and the adulteress shall surely be put to death.
[ATTACH=full]346488[/ATTACH]

Toa ujinga hapa

Unaisha ata nguvu miguu banae… Unaskia kuita mama yako lakini unajishika mdomo usijaribu kuitana… Alafu mkojo inaanza kutoka unaskia ni kamaa kuna kitu imekatika, alafu ikiflow, the flow inakuumiza na mkojo pia inakuchoma… Unajishikilia kwa ukuta ya choo usianguke alafu unaapa hautawai chapa dry fry… Unaskia ata kutafuta io kunguru uipige risasi ya matako unakumbuka bunduki ulipatia OCS after kureform

Go get that VDRL test and urinalysis asap. Get prescribed your Ceftriaxone and some antibiotics azithromycin -aziagio 500 kama ni VD or metronidazole na monte-levo if you get a negative VDRL test and pray hard you didn’t catch some hiv on top.

Shida za hizo clinics unaambiwa uje na whoever alikuchoma mtibiwe nyote wawili. Sasa hii hii ghasier hapo juu itabebana na Malaya kupeleka uspital?

PRP na unaskia ni two weeks?

Shida kama izi unakimbia hospitali mara that… Na ukiweza unaenda hospitali poa(I prefer private zile kubwa… Kwanza ukiwa na medical cover unakimbia uko)… Unaweza thani ni UTI kumbe ni kaswende plus kisonono… Before you realize, unalia kama katoto kadogo beacause of what you going through… Alafu dont take OTC for such problems… Tumia chenye utaambia na daktari… Alafu achana na akoho adi upone… Akoho hufanya io infection ikuwe strong na mwili ikuwe weak…

ujinga na unaambiwa ukweli na unakataa. ambia yule aliosema hivo.

:D:D:D:D:DHospitali ya serikali ata kadi huandikwa usipewe dawa kama hujaleta kunguru itibiwe pia

leta story. hii UTI ilikupeleka aje

Those Romans Catholic who wrote that book were walking around with smelly fingers after molesting small boys.

you dry fried a bar waitress, hao watu are clasified as high risk individuals kama tu lanye wa rifaroad

Funny thing ni the chances that a church lady can give you HIV is more higher than that bar waitress you loathe.

so that book is lies

And a church lady cannot be a barmaid?

But can be a wolf aliyevalia ngozi ya kondoo

Damn

:D:D

Get treatment wacha ujinga… if you know you can’t handle your alcohol… don’t drink or pick stray crow’s. Saitan.

Ni wajinga