Imagine kuna watu uingia place kama hii alafu wanaitisha hooves na thubu...

Nunua nyama ukapikiwe home au pay a little more ukule kitu poa. Afya yako ni jukumu lako

Halafu usiku kinyambis inatandikwa proper.

Nyinyi ndio wale watu wa Patanisho Radio Jambo:D:D:D , watu walikam jiji na Mbukinya:D:D:D

NRG is the illest FM radio station sahii, kwanza im ever on their website mixes. Huyo momo must have been Kamene Goro, watu real hawana maringo kama those plastic newspresenters.

NRG KAMA MNASOMA HII!! ongezeni mixtapes kwa website, in a day zinaanza kujirudia.

Hehehe nimeskiza patanisho mara kadhaa kwanza nikiwa Nissan za kuenda nyahururu…waluhyia wanapenda sana. Then it must be that lady, proper ass na mahawk…and it’s not the first time am seeing them there…very down to earth gang wakiwa na kajama flani kamzungu

Kuna siku nimeingia kibadaski ingine huku highridge,nikaitisha chapo na chai,jamaa akaniwekea chai,akaendea chapo huko jikoni.kidogo kidogo nikaskia amechapisha kamasi kwa ukuta paa,akirudi hakunipata.

:D:D:D:D

DJ Kace.

Its them.

That kamzungu fulani pulled a solid one on his chic…she almost went bananas.

I like hooves and kichwa but they must be drawn from boiling soup to the plate. Sio zile unakuta ATI zilichemshwa zikatolewa kitambo!

Leta hekaya
@Touchlyrics so you want to tell me this momo is the famous Goro! You have just given me ideas…thanks

sisi huwa tunakaa kwa hio environment, na bado tuko 130kgs of pure muscles

kuna vibanda fulani nyuma ya kenya comfort hotel ile ya upperhill near DoD. Tuliwahi patana na leonard mambo mbotela akisukuma ugali nyama

Natambua hapo sana

Mbotela sigwes shangaa, hao wametoka zile enzi KBC ilikuwa inawalipa peanuts. Plus ni mtu wa watu. Hawa insta “celebs” wenye hukaa ni kama wao hukojoa champagne na ku-poop chocolate ndio wanaeza shtua.

Kuna base kama hii ilikuwa ya boy flani alikuwa anaitwa dagi, tulikuwa tunaingia tunachapa hizo makasia anatuchomea na supu, Sisi mjini Hadi chuom ya Luthuli, mzinga ya raz, halafu tunaingia Nyanza house kupigana na mafala.

Umesema mithonge muhimu

It could be baloon body

hehehehe iyo dondoo kavu joh… need some soup:D