Imeanza..

mimi zile pesa niko nazo pale temple run zinaeza fund budget ya kenya for a decade

Then you are not a social drinker. Wacha kunywa pombe kama maskini.

umeamulia bia za TZ @Lord Bailesh

Maskini atakunywa pombe kulingana na uwezo wake

Akiogopa kufikiria.Hata montpellier ni pombe

Nakumbuka ulisema unafanya TZ job. kamshande + bonus kanafika 90K za kenya? ndio unawekea watu screenshot za TSHS ikae ma mita. sababu hizo brand ni za TZ vile wamesema hapo juu. Chunga isiishe kuna wiki tano bado