using qpst tool and hex editor stress aisee
Airtel wamechange amount ya some codes to 350mb including this oneā¦ Stay tuned up for moreā¦ Ii life ni kusaidiana
Dial ##3646633##
hii ni ya kuduh?
Kutweak
niko na code haileti 350mb zote zinaingia 4gb for 4months autorenewable.kama unadai kuja inbox na si ya bure
Niko na ya 55gb
Unafanya nini basi kwa inbox yangu kama uko na code
upuz ume waste line
Heheh
Tumia MTK Droid Tools mtyangu
Nadai code ina gb za maana, 350 mbz zimenizoea excess, nani ako nayo atuokolee
Internet forums si place ya biasharaā¦kama hutaki kusaidia wasee nenda olx ukafungue shop,
mi napewa 50mb lolā¦ heri ata hiyo 350mb
kuna line mbili walinipea 50mb nikazivunja
Can someone give me a clean tutorial on how to do thisā¦nilipata 350mb pia and failed on my second attemptā¦communication via inbox for obvious reasonsā¦asanteā¦
Izi 350 mbz znaniwastia maline ninabuy tu, shida ni?
kuna jamaa alisema kitu hapa watuwakapuuza, saa hii mimi iko enjoy kapisa:D:D:D
si mlijifanya wajanja