In Islam Hakuna Dating ? wtf

afadhali ikae

During my parents time…watu walikuwa wanakutana kwa stage ya matatu na travelling plans zinabadilikia hapo. Yaani unapata babako alikuwa anaenda busia nae mamako kiambu. Wanapatana pale town…after few minutes wote wanaelekea busia…na wanaishi all their lives together. Siku hizi una date kike for over 5 yrs…mnaoana na ndoa inavunjika haraka. So kusema m date for a while ni ujinga.