indians cheap access to credit

True

Umetusiwa

Niaje bingwa, fafanua mimi inakaa ni nongwe

Oya… Sijamtusi, mwenyewe kasema atakuwa muisilamu juu ya hela.

Kule Mombasani, kwenye boma za waswahili kama kawaida yao wanajua kupika pilau, wali na biriani… Kuna wakristo walibadilisha dini yao ili wawe wanaalikwa kwenye hafla za waislamu ili wale wali.

1 Like

Wacha za ovyo boss, ku-compare pilau na mkwaja ni kama kufananisha ndoto na kifo

1 Like

Sludge mbona lakini hushiki

Nlishika Bingwa tulia

Iko watu hawaezi saidika Kenya hii. Mhindi akipata shortcut inawauma. Simuambie mtu wenu asign loans very soft for you.