Infinix

Alaa!! Hapa nimechelewa aje? Hizo infinix ni ads tupu!! Hiyo ukizubaa nayo utajipata ilikushtaki kwa NIS wewe ni mfwasi wa al shabab

1 Like

No gift maze so unaona imetoka maeneo ya Emirates… Lkn I want trade in na S6 edgeplus coz naona rooting itataleta kichwa

Aaaai tablet mzima ya 7.2" iko na 4000mah hapo wameanguka mtihani

1 Like

Iyo ni hii hapa?

[ATTACH=full]79835[/ATTACH]

[ATTACH=full]79836[/ATTACH]

[ATTACH=full]79837[/ATTACH]

Yes hiyo

Resolution yake iko chonjo, Nvidia Tegra chipset pia, lakini iyo IPS LCD display haijanifurahisha…camera pia ni shitty…wacha nitaitafuta niicheki…

Camera image quality depends on lots of factors. Pixel XL na 12 mp cam yake iko rated way higher than Infinix na 16mp yake

2 Likes

ve always wondered why someone will buy infinix.infinix are for form 4 leavers and college students bt the moment you get your first job get something else… i hear kuna ingine xhiomi

1 Like

you cannot compare a xiaomi to infinix. Xiaomi iko ligi za akina Lg, Sony. Apple etc. They have great solid devices which they update frequently. so a kujifanya kujifanya mjuzi na haujui.

5 Likes

@Deorro…ile kitu imenifurahisha kwa iyo Google Pixel ni iyo GPU na chipset peke yake esp kwa gamer,kwanza iyo chipset ndio inapea iyo Pixel resolution ya juu

of late Deorro umekua very pessimistic, you only see the ugly side of a person’s post. The guy has clearly said Xiaomi is better than Infinix naona ukisemRKO kwa your last sentence

How does the statement, " i hear kuna ingine xhiomi" equates to a comparisson?

ai what do you mean eti their maps are poor?

Xiaomi hoyee…Best decision after infinix let down

3 Likes

"you cannot compare a xiaomi to infinix." Very true how will i compare them when i barely heard of your xioami till some few days ago kwa kinyonzi. And you say Xiaomi iko ligi za akina Lg, Sony. Apple etc. I really dnt what that means ligi ya lg, sony and apple you say.

okay give us your expert opinion

:D:D:D:D Masweep tu! :D:D

:D:D:D:D:D:D:D:D

Hehehehehe, shida huwa most of this phones huwa na A-GPS pekee, ukicheza inakutupa mbali sana. Sasa jamaa wanadhani ni map app mbaya

1 Like

Hio kinyozi yako iko down upgrade it

1 Like