@Introvert come kiasi....

yeah, a sgwembe powered kick can be life threatening…:):slight_smile:

He he hee khupipi ni muwanga, pole sana

It should, lakini sasa umeingia kwa ile list ya “expensive guys to insure”

Na hiyo rule no 1. umetoa wapi dear???..askin for a fyiend

I hope you are not that kind of men who value their car more than the wife. As in, when you arrive at the scene, in stead of asking if she is hurt, you go straight to inspecting the damage and you are like “sasa nani atalipa hii 50k?”. It is the worst thing a woman can hear.

Unspoken rules but ziko

Kama ni CIC, itakusort. Hizo zingine, no comment.

nope, I’m a very composed guy. I was on the passangers seat as she was reversing and I din’t say anything.

Hehehe.
Plot twist… Khupipi ndiye alipiga gari teke kwa parking akitanz elipala.

He he…ni lipala au Ile ingine ya kutikisa mkuu mocha kwa hewa?

Very good. Too bad you are married. Some men should be allowed more than one wife.
:D;):smiley:

saitan! unabahati insurance wamekubali kutengeza otherwise wewe ndio ungenyorosha hio matako ya mark2

We na wewe wacha ujinga. Steering iko huko mbele. Si kwa boot…

heheheh, niko na wawili already! siwes mind ukuje ukuwe number 1c

:D:D:D:D:D Siwesmind

I know. Ujinga imetokea wapi sasa?

Chunga poss unaeza kuwa una court pingwa inc

Hehehe.
Hiyo dent iko consistent with the new theory.

Hebu sasa chunguza mguu ya wife kama iko na paint residue. :D:D

I have a lot to say on this…lakini wacha tu

Sijui. Lakini ni kama ulizaliwa nayo kama viungo vingine vya mwili.