Is it hitchhikers or Waombaji lift

on juja rd and outer ring road hao hudandia malori na pickups bila kualikwa.

I only lift my neighbors ata kama sikujui and I see u ukitoka mtaa yangu I’ll generously stop and ask kama unataka lift esp queens:D

I know of a guy with a Mitsubishi Rosa tour bus who does that, and also upcountry matatu drivers pick estate bound passengers on their way home.

Barabara ya kutoka ruaka to st Paul’s wamejaa, Pande za tigoni pia wamejaa.
Naivasha kwa maua pia wako. sometimes I offer them a lift.
There was a day I gave a man wife yake na kijana lift wakienda Kiambu hospital. I don’t know what got into me but nikaanza kufikiria wanaweza kuwa wakora. I just unlocked the doors na nikafungua seatbelt nikasema nikisikia kitu baridi nyuma yangu nitaruka niwaachie gari.

Hahaa Very True

Akuna psv pale,they are worker living in mathare valley

siku ile X5 itahepeshwa nayo msolobobo irudi kwa tumbo ndio utajua hukuwa unajua

Hitchikers ni jina ya waombaji lift kwa lugha ya kimombo