Is kuachika so hard ukiachwa?

:D:D:D Thank you

:D:D:D:D noma sana

Maliza najua hii hekaya ndio unaanza.

Your shitty day has been turned around by this shitty thread of mine
:D:D:D

alinunua emami ya kujisugua after kupigwa na watu?

You right… If I were to post it all… what I’ve given is less than the introduction alone. But we’ll laugh it in bits.

Sijasema kuna siku ingine alikuwa akipitia pitia picha zake kwa album zenye alipigwa pamoja na mabeshte zake…
I joined him, tukaziangalia for sometime…
Tulifikia one photo that he had posed with other 6 niggahs. … akaniambia, “hawa wote walikufa same day” …and started to narrate

Night evening villagers

No. They did not beat him. The hugged him instead.

@Illuminated your auncle has just replaced auncle Thio (@kush yule mnono) as my favourite auncle

Sikuachi, can sniff a good hekaya from a distance.

Some people are just slow in life - Aviator 2015…

Hekaya za huyu uncle zikwom. Funny stuff

Utanimalaysia… lakini, don’t worry, kikapu bado imejaa. Hizo nimeokota hapo kando tu… ndani hatujagusa pando:D:D

Brother where have you been

Trying to get good ugali for my family sir.

Omwami inbox ni muhimu at times . Good to see you around

:D:D:D
Shait.
Can I adopt your uncle?

alitishwa na purpleste

Shemeji mimi ni pure breed from Western, i dared that lubbish to ban me akaingia chini ya maji,nimekuwa nikitafuta ugali kubwa na ilipatikana Friday, some talkers know what i mean.

pongezi afande.

Heading church for prayers sir, will be praying for your family.