Is There A Need for KODI Anymore?

I might have to consider moving too. For the last 4 weeks, this zuku thing has worked for barely 3 days. Kazi imesimama bana. Due date ni kesho, so kunijazia inbox na messages za upuzi ati nilipe, for something that doesnt work. That safaricom service ni ile inaitwa vuma? @Deorro

@Kalintosh waya za zuku zilifika kitambo, but hazifanyi kazi. Hazina tofauti na wire za nguo as we speak. Naona nianike curtain hapo sato zikifuliwa.

Kuna fibre nyingine ya Liquid Telecom yaitwa Hai Waya. Iko na good reviews. Mimi na consider kuchukua hiyo Wimax yao

Yes Vuma. Hata mimi niliona hakuna haja Kazi isimame

Estates gani ziko covered by Vuma?

Siko sure poa, so far najua Nyayo Embakasi, uthiru, kinoo, Rongaiā€¦ The rest sijui

Unaishi kwa nyumba yako, unanunua bundle za 9k na pesa yako, etc ! No, you dont need Kodi, you dont even need IPTVā€¦I say get yourself DSTV Premium !!

Hiyo vuma iko reliable viserious. Used it for 4 months now, haijawahi nilet down. Zuku iko na tushida kila saa

Used it for a month now na so far am satisfied

|Fixed

Buda si umenimaliza maze.
Na wasee wa tu MIFI wanakaa wapi juu hapa wengi wetu hatufiki bei wallahi.

Rip off better that Orange, 100GB is equal to 90hrs of viewing :(:mad::eek:o_O

100GB ni mtoto ukistream HD.

Hapa Doni nimekuwa na Zuku downtime twice for the past two years ago.

Saa hii cost ya 100GB ni 6k kwa Telkom

Mobdro is way cool and easy

very stable sir

Zuku Wetlands ni meffi!!

chukua safaricom fiber nanii

Yep. The new upgrade is fwyneā€¦I use Elysium.

1 Like