Is This 2022 In Advance?? Police recover 6 BODIES of smartly dressed men with gunshot wounds

Which ones?

Hi kitu serikali iko involved 100%,if not hapa wangepeleka kdf ifanye vile walifanya Mt Elgon na Sabaot land defense forces,biashara ya mifugo runs into millions bana which feeds the system ,but on the flip side, heshimu pokot ,hiyo bonobo ikishika a rusty Ak47 anaweza pepeta hao mongrels wa GSU vibaya Sana ,inafaa kuwa Sheria for any pokot man ,18 years and above to be enlisted into the forces ,hao watu ogopa wao,nigga can stay kichakani Kama mnyama ,walk hundreds of miles in the unforgiving weather and terrain.the best sharp shooters are pokots ishimu wao nani,hii ambush wamepiga gsu recently was deadly .the only way to flush them out in those bushes is use helicopters mounted with sniper guns ,but not kupiga patrol na malaroli hapo itakuwa a repaeat of suguta valley incident

WHo controls Kenya?

If by control Kenya you mean who is responsible for security, I say it depends on where you are

Maneno ya mifugo tafadhali wachieni sisi watu wa mifugo. The dynamics are too complicated for keyboard warriors.

Uhuru na Matiangi kazi nikupayuka kwa tv tu.

Mbona mnapenda kuiba mifugo?

Ni past time yao

mbona tusiweke ma baracks turkana,pokot na north eastern?

Cant speculate on that but vile sirkal imefanyia watu tangu 63,the possibilities of them duping us are high

You never cut the hand that feeds you

Uko it’s a totally different world… You have to experience it to believe it.
Zile projects za kazi tumefanya huko lazima mtu wa huko akushike mkono, usipeleke blunder za Nairobi ukufe tu hivi kimchezo…

One of the dead is an IEBC official. Ni cleansing my friend.

Kenya police, regardless of flavor, ni raiya huko sides za pokot, na turkana… KDF, are just babies in combat fatigue, they can only massacre cattle…

This things always happens uchaguzi ikikaribia…???