Is This A Valid Comment Against College Degrees?

unaishi kenya gani? yaani Arror akisema mkuwe plumber mnaenda kusomea plumbing bila kufanya uchunguzi mjue mbivu na mbichi? fundi yyote yule huwa jobless project ikiisha, awe yeye ndiye mhandisi ama mason. Daktari kenya hourly rate yake iko chini ya hourly rate ya mason, lakini services za udaktari zinahitajika 24 hours 7 days a week, mwisho wa mwezi atakuwa na pesa mingi zaidi kuliko mason. Ukiita plumber umpatie kibarua kwa nyumba yako huwa anachukua masaa ngapi kumaliza kazi?

Our attitude and perception as to what constitutes “gainful employment is” iko chini ya kiatu

@sani sitakuambia tena. Apana potosha raia … kwani kazi ya plumber ni kufanya projects pekee yake. Utasemaje kuhusu makanika wa moti ama ata fundi wa stima. Most of this guys have extra jobs that they do to make money. Kama unaelewa kazi yako vizuri na ukuwe mjanja utapata referals mingi sana. Look at this deeply na sio juju nkama unachagua korona pale sj. Tuko pamoja?