isokei isorait

Kipi kilikushangaza?

Sijawahii kumuona ame post kitu chochote hapa na amewekwa kama moderator.

Ul

Ulitaka nani awe moderator?

Kunguru hafugiki…

Aisee vipi wajianika? Picha hatuweki dogo…

Picha ipi dogo?